Machizi wote wana maumbile ya kiume makubwa

Machizi wote wana maumbile ya kiume makubwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaona anaishi na chizi, halafu anajishaua na elimu yake wakati kafuatwa.yeye elimu baadaye haaaa haaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unachukia usiemjua kwa mafanikio yake (ambayo, apparently inawezekana ata asiwe nayo kiukweli...pengine ni persona kwenye fairytale ili kufikisha ujumbe. What will your mama feel akijua kazaa jinga linalojikondesha kwa ku mind artificial characters in an artificial world (JF)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba umezingua, kwanini unayaonea aibu maumbile yako na kujikosoa? Jiamini mkuu.
Ukikutana na mtu hayaonei aibu mapungufu yake...by implication, ogopa his/her lever of self esteem (don't quote me wrong...sijasema kua mimi nina high level of self esteem. Naomba nieleweke[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple logic tu
Chukua mimea miwili uipande sehemu moja, mmea mmoja kila siku uwe unaushika shika, mara unaupinda, mara unausugua sugua, mara uingize kwenye kitu cha moto moto hivi alafu mmea mwingine usiuguse kabisa uache ukue wenyewe.
Hapo nafkiri umeshajua ni mmea gani utakuwa vizuri na upi hautakuwa vizuri.
Achana na anatomy zako zakiwaki jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavaa barakoa na kunawa kila mara? Covid ni hatari sana.

usisahau kusimama mita zaidi ya mbili wakati unachunguza maumbile ya wanaume wenzako.

Utafiti wako hauna manufaa yoyote kwako wala kwa taifa ila upo kwenye nchi huru kutamani kufanya lolote ila usivunje sheria.
 
hapo umeongea neno chief.. kuna dem niliachana nae alikua analialia sana tuwe pamoja. baada ya kumkazia akaanza kuongea shombo, akanchamba haswa, ila neno lilonchekesha zaidi ni pale aliposema "hivi wakiitwa wanaume na we utatoka"

tih tih.. nkasema hata sungura alisema SITAKI MBICHI HIZI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapo muacha mwanamke si lazima umuache kwa kejeli na matusi sababu anaweza kukupa neno moja likawa linajirudia kichwani maisha yako yote. Muache mwanamke kimyakimya hadi baada ya masiku mkikutana barabarani mnasalimiana vizuri na pia mnaweza kukumbushia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaniijata mtu 'intelligent' umeongoza shule za msingi, sekondari hadi umesoma Mlimani (UD) lakini kuandika hujui.

Sio bure hicho chuo kinadharauliwa sana asee kumbe watu huwa wanasema ukweli wasomi wa UD ni hewa tupu.
Relax mkuu. It's just a fake me with a fake ID trying to find out how many of you are about to die of jealousy in the near future.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapo muacha mwanamke si lazima umuache kwa kejeli na matusi sababu anaweza kukupa neno moja likawa linajirudia kichwani maisha yako yote. Muache mwanamke kimyakimya hadi baada ya masiku mkikutana barabarani mnasalimiana vizuri na pia mnaweza kukumbushia

Sent using Jamii Forums mobile app
kaachwa vizuri tu ila ye ilimuuma ndo mana akawa anatoa mapovu ili apunguze maumivu. na hio kukumbushia haiwezekani asee nna mke msupu sana, Ex nenda salama.
 
Back
Top Bottom