Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,782
- 22,095
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sisi wenye vibamia tunatafuta Toto ndogo ndogo zinaanza kwetu halafu ndo wanaenda kwenye mashirika ya uma huko...
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sisi wenye vibamia tunatafuta Toto ndogo ndogo zinaanza kwetu halafu ndo wanaenda kwenye mashirika ya uma huko...
Kuna aina nyingi za kujichua .Hv kunamwanaume ambae hajawah kujichua? Asilimia kubwa ya wanaume tunapitia puchu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine mabwabwaWatu wa Dar mna matatizo sana
Mashirika ya ummaMkuu sisi wenye vibamia tunatafuta Toto ndogo ndogo zinaanza kwetu halafu ndo wanaenda kwenye mashirika ya uma huko...
Wewe mama tema mate chini wewe........ kwa hiyo wasomi wanaowazidi wanaosoma UDSM ni wepi? Wale wanaotoka KIU kila anaehitimu kapata GPA ya chini 3.9? (Mtanisamehe kwa kutaja jina la hiki chuo bali nakitumia kama sample ya vyuo vingi private vya kibiashara zaidi). UDSM usiipimie wewe labda sababu taaluma ya UDSM huijui kwa kuwa hukupitia hapo.Unaniijata mtu 'intelligent' umeongoza shule za msingi, sekondari hadi umesoma Mlimani (UD) lakini kuandika hujui.
Sio bure hicho chuo kinadharauliwa sana asee kumbe watu huwa wanasema ukweli wasomi wa UD ni hewa tupu.
Mama right? Haya mkuu.Wewe mama tema mate chini wewe........ kwa hiyo wasomi wanaowazidi wanaosoma UDSM ni wepi? Wale wanaotoka KIU kila anaehitimu kapata GPA ya chini 3.9? (Mtanisamehe kwa kutaja jina la hiki chuo bali nakitumia kama sample ya vyuo vingi private vya kibiashara zaidi). UDSM usiipimie wewe labda sababu taaluma ya UDSM huijui kwa kuwa hukupitia hapo.