Makamanda wajifunze kitu? Hiyo ni ndoto ya mchana. Makamanda, hasa wafuasi wa mr #dishlimetilt, hawawezi kujifunza kitu maana wanaamini wanajua kila kitu!
Makamanda ushuzi
Yuko Pia anae ng'ang'ania uchairman hapo ufipaMakamanda wa ukweli ndiyo hawa wanaong'ang'ania serikalini ambako kutoka hawataki?
Yuko Pia anae ng'ang'ania uchairman hapo ufipa
Wewe kiazi ikiwa tu akina mama wa Bawacha wakifanya jogging wanapelekewa defender 10 na Askari wenye silaha nzito za kivita sembuse kufanya vurugu. Najua mnachochea hivyo ili kukidhi kiu ya watawala ya kuifuta Chadema kuwa ni chama cha vurugu. Hatuingi hii mitego yenu ya kindezi.Makamanda wajifunze kitu? Hiyo ni ndoto ya mchana. Makamanda, hasa wafuasi wa mr #dishlimetilt, hawawezi kujifunza kitu maana wanaamini wanajua kila kitu!
Ushuzi wa mama yakoMakamanda ushuzi
Dogo nimekuelewa sana!
Unakuta Ummy Mwalimu anaitisha press kutangaza ajira 3000 katika population ya binadamu 60,000,000.
Halafu waandishi wa habari Wanamshangilia na kumpigia makofi.
Shujaa hufia vitaniKuna mtu atapewa show ya Dr. Ulimboka,yetu macho.
Huo msafara mbona una makorokoro mengi!? Kwani kuna kitisho cha kupinduliwa rais mwanamke!?Wenye misafara ya anasa kama hii:
View attachment 1995254
Wakati hali nchini si hali, kama wanavyo tanabaisha machinga.
Mustakabala wa ku tilt kwa madishi yao unauongelea je ndugu mjumbe?
Wewe kiazi ikiwa tu akina mama wa Bawacha wakifanya jogging wanapelekewa defender 10 na Askari wenye silaha nzito za kivita sembuse kufanya vurugu. Najua mnachochea hivyo ili kukidhi kiu ya watawala ya kuifuta Chadema kuwa ni chama cha vurugu. Hatuingi hii mitego yenu ya kindezi.