Machinga wanapangwa Dar es Salaam

E38EB53C-1952-422C-A482-9EC69C0855F7.png
Kama hata yatafanyika kwa hata50% jiji litakua safi sana
 
Haya ndio mazao ya uoga na siasa za Yule jamaa aliekuwa hajiamini ktk uongozi wake .ni gharama kubwa mbaya ametuachia Hilo zao la wamachinga ni bomu litkapo ripuka itakuwa balaaa
Hao machinga wapo miaka nenda rudi na hakuna raisi aliweza kuwatoa
Tokea kipindi Cha mkapa Hadi Leo wakuu wa mikoa wote walichemsha, akina ditopile, makamba, wote hao walichemsha kwa machinga. Labda serikali itumie jeshi
 
wajenge bustani tu maeneo mengi so wamachinga wataondoka wenyewe tu tizama pale kuanzia jangwani hadi swiss tower wameanza kujenga viambaza machinga wote wamesepa na vibanda umiza vyao
 
Back
Top Bottom