Hiki suala la machinga haiitaji maoni ya nini kifanyike, Mamlaka ya juu imeshatoa agizo, kitachofuata ni utekelezaji tu, hakuna cha kusema nani kapangwa vibaya ama vipi huwezi kuwaridhisha watu wote, hata huko serikalini kuna watumishi hawaridhishwi na baadhi ya masuala lakini wametulia tu maana ndio utaratibu kama Taifa.