Machinga waanza kumlilia Hayati Magufuli

9

Waambie wakamfuate KABURINI.
Mkuu una stress za nini? Na ww itafika wakat utateseka na maradhi ambayo utaomba kupambazuke ulione jua,

Kwa sasa najua ukilala unapumzika kabisa na kukikuchwa unalaum aaah kwa nn kumewah kupambazuka, nikuambie tu ipo nyakati utaomba walau kuwah kupambazuka maana unaona kama roho itakatika kukiwa bado na giza.

Hapo ndio utayakumbuka haya ya mitandaoni ya kumsema marehemu, wazee hawakuwa wajinga kusema marehemu hasemwi.

We are on same same way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna vita hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu swal hili kwa ukarib Ni Kama linakamtego ndani yake ambapo kunamtu anategewa akanyage batani watu wakinukishe, ila ukimsikiliza makala Ni Kama anataka kuwaondoa wamachinga, ila kwa upande mwingine Ni Kama wamachinga wanataka kumwondoa makala,

Sasa ukiangalia kwa mapana yake, utagundua kuwa swala hili si Jambo jepesi Kama watu wanavyodhani, maan ukiliingia kwa pupa utadhalisha chuki ambayo inaweza kughalim maisha ya mtu/watu, kwa hyo unapaswa kuwa makini Sana unapolitatua,

Halafu nmemsikia makala akisema kuwa TANROAD NA TARURA, Kama sijakosea wafanye usafi kwa kupanda maua sijui makolo kolo gan anyway so mbaya ila hajashauliwa vzr nadhan au amedanganywa, akaangalie kazi za hao aliowataja Kama kunasheria inawalinda juu ya hlo alilolisema na Kama ndvyo Ni kwa maeneo yapi??

Pili unapowatoa hao kabla jiulize Nan aliwaruhusu? kumbuka hawakujikuta tu wapo Hapo, Sasa Ni lazima Kama hakuna mtego hapo ajiangalie atumie thinktank yake vizr

Mwisho niseme tu wamachinga Ni ajira isiyokuwa rasim ila inayowaajir watu wengi Sana, hvyo kuwaondoa Bila plan wap unawapeleka unatengeza bom ambalo likaja kulipuka hakuna ataesalia...

B
 
Waache Ujinga waende sehemu waliyotengewa kufanya biashara,wanaudhi sana kukaa kwenye mitaro na service roads,wakiwa sehemu sahihi wateja watafata huko huko.
 
Ni wapi machinga walimpiga mfanya biashara ngumi? Hapa ni kwamba serikali imekurupuka kuwahamisha pasipo kuwatengea maeneo maalamu ya kufanya biashara waanze kwanza kuwaandalia maeneo ya kufanya biashara kisha wawahamishe pasipo hii ya kuwahamisha pasipo kuwaandalia sehemu yao maalamu.

Tunachoiomba serikali ni kufanya maamuzi sahihi pasipo kuwaonea hawa vijana walioamua kujiajiri kupitia umachinhnga.
Warudi vijijini wakalime

Sio wote tukae mijini. Usilazimishe kuishi mjini kwa kuvunja sheria

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu swal hili kwa ukarib Ni Kama linakamtego ndani yake ambapo kunamtu anategewa akanyage batani watu wakinukishe, ila ukimsikiliza makala Ni Kama anataka kuwaondoa wamachinga, ila kwa upande mwingine Ni Kama wamachinga wanataka kumwondoa makala,

Sasa ukiangalia kwa mapana yake, utagundua kuwa swala hili si Jambo jepesi Kama watu wanavyodhani, maan ukiliingia kwa pupa utadhalisha chuki ambayo inaweza kughalim maisha ya mtu/watu, kwa hyo unapaswa kuwa makini Sana unapolitatua,

Halafu nmemsikia makala akisema kuwa TANROAD NA TARURA, Kama sijakosea wafanye usafi kwa kupanda maua sijui makolo kolo gan anyway so mbaya ila hajashauliwa vzr nadhan au amedanganywa, akaangalie kazi za hao aliowataja Kama kunasheria inawalinda juu ya hlo alilolisema na Kama ndvyo Ni kwa maeneo yapi??

Pili unapowatoa hao kabla jiulize Nan aliwaruhusu? kumbuka hawakujikuta tu wapo Hapo, Sasa Ni lazima Kama hakuna mtego hapo ajiangalie atumie thinktank yake vizr

Mwisho niseme tu wamachinga Ni ajira isiyokuwa rasim ila inayowaajir watu wengi Sana, hvyo kuwaondoa Bila plan wap unawapeleka unatengeza bom ambalo likaja kulipuka hakuna ataesalia...

B
Endelea kujidanganya

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una stress za nini? Na ww itafika wakat utateseka na maradhi ambayo utaomba kupambazuke ulione jua,

Kwa sasa najua ukilala unapumzika kabisa na kukikuchwa unalaum aaah kwa nn kumewah kupambazuka, nikuambie tu ipo nyakati utaomba walau kuwah kupambazuka maana unaona kama roho itakatika kukiwa bado na giza.

Hapo ndio utayakumbuka haya ya mitandaoni ya kumsema marehemu, wazee hawakuwa wajinga kusema marehemu hasemwi.

We are on same same way.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe maradhi sugu ya kutisha yanayokunyima usingizi naona yamekukaribia kabisa. Utatesekaaa utateseka mnoooo na utakongorokaaaaaa utakuwa kama mbwa koko asiyejua harufu ya mchuzi.

Ni punde tu.
 
Back
Top Bottom