white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,317
- 13,285
Mitaa mingi ya Dar, leo ni mvulugano sasa wameamini kumbe serikali imeamua kuwaondoa , japo naona lazima tu nguvu itabidi itumike kwani ukiwasikiliza ni wale BORN HERE HERE, DEAD HERE, HERE!!Aiseee
Bwana bwana!!DAR , ndio kuna kazimaeneo ya Mwanza naona tayari washapungua barabarani.... wengine wametelekeza meza zao
hii shughuli sio ya kitotoBwana bwana!!DAR , ndio kuna kazi
Hakunankitu kama hicho mkuu, kwani ushindi wa CCM, wala hautegemei kura za wananchi, wao wana fomula zao, ambazo hazionyeshi njia bali ni jawabu tu.Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Kumbuka ni chama cha majizi so yataiba tu na yanategemea dola kupora chaguzi na wizi wa kura kwenye mabegi..Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
WIZI WA KULA NA MATUMIZI YA VYOMBO VYA DOLA NAZO UNAITA FOMULA?Hakunankitu kama hicho mkuu, kwani ushindi wa CCM, wala hautegemei kura za wananchi, wao wana fomula zao, ambazo hazionyeshi njia bali ni jawabu tu.
Waambie wakamfuate KABURINI.Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
tusichokijua,wenye wamachinga watakomaSisi wamachinga tutakoma
Kupoteza kisa?Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
DuuuWafe nao waende kuzimu
Wewe huna tofauti na mama anayemtesa mtoto wa mke mwenzieWalizidi kuvunja sheria za nchi na kujifanya watemi na halafu wengine wanastahili kabisa kulipa kodi lakini wanajificha kwenye umachinga.
Pia wajue malipo ni hapa hapa duniani maana wao walikuwa wanashangilia wakati wa baba yao pale wengine walipokuwa wakionewa kwa kubambikiwa kodi za kimagumashi.