Machine ya Kuprint Plastic Cards | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machine ya Kuprint Plastic Cards

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by bagain, Dec 26, 2011.

 1. b

  bagain JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Wana Jamii,

  Ni duka gani kwa hapa Dar es Salaam nitapata printer kwa ajili ya plastic ID cards, Business cards, Employee cards n.k?
   
 2. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ingia BMTL mitaa ya posta wana mizigo ya dizaini zote!

  1
   
 3. b

  bagain JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Asante kwa ushauri kuhusu BMTL.

  Kuna mtu alishawahi nunua printer za aina hii kwa BMTL?
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawana BMTL. Nenda pale CANON CITY Haidery Plaza. Zinaanzia USD 3500 ila software ya DataCard hawana, uende Mitsumi Garage ukawaulize wahindi wale wakusaidie kuipata. Nayo ni kama around usd 2000
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Oposite na Canon City utaipata kwa Dola 3000 ikiwa na software yake.pia wanazo blank cards.
   
 6. b

  bagain JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Asante kwa maelezo mazuri, nitayafanyia kazi.
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Sure hapo hapo Plaza ndio Wanauza...

  Ila Isije kuwa ndio wewe ulikuja na mbwembwe Unatengeneza ID card kwa bei poa .. Kumbe Printer Huna... haha Na Ujue hizo Machine kwa Tenda Yangu Haziwezi... tusije kuharibiana Kazi, Zipo Slow Sana ila kama u Mbishi zitakufaa
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Bora ungejua teknologia yake ambayo ingekurahisishia kazi kuliko kwenda kununua kitu kitakachokugharibu pesa halafu usijue namna ya kufanya.

  Mitambo ya gharama nafuu ya aina ya card unazotaka ni kutumia ufundi wa kawaida tu ambao ni kuchapisha card kwenye karatasi za kawaida na halafu kuwa na mtambo mdogo tu wa gharama nafuu wa laminate. Ndivyo wanavyofanya hata bank card, Id card na mengineyo.

  Kinachoonekana plastic ni juu tu wakati ndani ni karatasi ya kawaida tu. Kama huamini niulize nimeshafanya kazi hiyo nilipokuwa huko kwa wenzetu sehemu inayolindwa na FBI ambapo document za pekee huandaliwa na mtu ukishaingia na kutoka kuna sekuriti ya pekee na si rahisi kuingia mtu ovyo kwa vile ulinzi ni wa kielectronic elements. Utundu huo naujua. Hiyo mitambo utaingia gharaza zisizo za lazima.

  Teknologia ninayokuambia gharama ya vifaa vyake mpaka kazi ikamilike ni chini ya $ 1000 kama utaiagiza toka nje ya nchi na kama kwa kuifikisha hadi bongo itakugharimu kiasi cha $ 2000 na kidogo. Tuache kuwaibia watu pesa, lets be fair. Thanks
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Hizo PC Printer ya bei ya juu kabisa hufanya kazi zote ku print na kulaminate
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama anazo kazi ambazo anahitaji mtambo ghali kama huo. Wanaohitaji mitambo aina hiyo ni wale wanaozalisha vitambulisho vya malaki kama si mamilioni kwa siku. Vinginevo mtu unaingia gharama ya mtambo ambao kurudisha gharama zake itakuchukua muda kutokana na soko dogo tulilo nalo.

  Ni sawa na kuleta mitambo ya uchapaji Tanzania ambayo hutumia conveyors (vitabu kuminika vimejishikilia kwenye mnyororo kutokana na kasi ya uzalishaji na speed) na finishing kwa kutumia robot kwa vile kasi ya mtambo wa aina hiyo uzalishaji wake speed ya binadamu haiwezi, wakati uzalishaji ni vitabu 5000 kwa siku wakati huko ulaya mitambo hiyo huzalisha mitabu zaidi ya 1,000,000 kwa siku. Hapo ndipo tunaopona tofauti ya kufanya shughuli kiuchumi na kufanya shughuli kwa kujionyesha.

  Nimewahi kuona Ulaya na Marekani baadhi wakitumia mitambo ya zamani sana ya pre-press ile ya kurudufu herufi (mono/lino type - for type setting) unapogonga ni sawa na kelele za marimba, kisha kufanya composing kwa maana ya kwenda kuchapa kwenye mitambo ya zamani ya letter press badala ya offset press ya kisasa. Hii yote ni kutokana na volume ya nakala kwani offset hata kama unatoa coppy 10 tu gharama yake ni sawa kama unatoa coppy 5,000 nazaidi kwa vile material yanayotumika ni mengi muno pamoja na madawa yake licha ya wino. Waafrika hatufikiri hilo ila kuonyesha kwamba natumia mtambo mpya wa kisasa bila kuja gharama za uendeshaji kuwiana na mapato. Matokeo yake ni kuanguka kwa biashara.
   
 11. b

  bagain JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Hapana, mimi natafuta printer kwanza.
   
 12. b

  bagain JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  nilijitahidi kupitia mitandao tofauti, nikakutana na bei zinazoanzia dola 400 na kuendelea kutegemea na specification zake. Kwa hiyo ikanitia moyo kuulizia kama kwa hapa tanzania hasa Dar es Salaam zinapatikana.

  Nashukuru kwa ushauri wako, sema tu sijawahi agiza kitu nje ya nchi. moja ya mtandao nilipoziona ni Plastic Printers.com - Plastic Card Printing Equipment .
   
 13. b

  bagain JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Huu ndiyo uzuri wa JF, ninapata ufahamu na jujua changamoto zilizopo katika biashara.
   
 14. b

  bagain JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Huu ndiyo uzuri wa JF, ninapata ufahamu na jujua changamoto zilizopo katika biashara.
   
Loading...