KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
yanyanyuliwe ili iweje?
Lengo laz kunyanyua matiti ni lipi hasa
Lengo laz kunyanyua matiti ni lipi hasa
Kweli wabongo tumekata tamaa kufikiria mambo ya msingi tumeishia kukaa na kuwaza ngono ngono tu. Hilo ndo tunaloweza kwa sasa. Shame on us bogolanders!!
Lengo laz kunyanyua matiti ni lipi hasa
Machine hii inapatikana blue palace saloon iliyopo nyuma ya shule ya mapambano sinza.
View attachment 49096