Machine ya kunyanyua matiti-kandambili,lapulapu basi tena

Nyie dada na mama zanguni, kama maziwa/matiti yako yamelala ujue ndio yashazeeka, usijaribu kufanya mambo hayo ya kujipiga jeki, stop it now, it can cause cancer to you! Acha bana, sisi wanaume tunapenda matiti yaliyolala basi, hatupendi yaliyo simama!!
 
Hawa China noma, nafikiri hawajafanya research vizuri, Wakija na mashine za kunyanyua, kuongeza urefu na ukubwa wa NONINO ya wanaume hapa BONGO watapata pesa kama hawana akili nzuri!
 
Aise kweli nimeamini si kila kinachosimama kina miguu. kumbe hata matiti yanasimama japo hayana miguu watu wanayalazimisha.
Kuna mwanamke inasemeka wakati wa tendo la ndoa huwa hamruhusu mumewe kunyonya matiti eti akidai kuwa yataanguka and she is about 36yrs age. Duh wanawake mnatisha
mh.... haya jamani asanteni kwa ujasiri huo
 
Back
Top Bottom