"Machine" haipoi, ina chaji 100% kwa siku ya 5 sasa!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,706
Reaction score
65,346
Wandugu kuna jirani yangu "kamtafuna" mke wa MTU siku nne zilizopita, lkn cha ajabu mashine (dushe) yake imesimama wima tangu siku hiyo hadi leo hii na anapata maumivu ya kufa mtu. Jamaa hajaoa, lkn ana mpenzi wake ambaye huwa anakuja na kuondoka.

Juzi alishauriwa amuite huyo mpenzi wake ili amtwange na kuushusha mnara chini. Thubutu! Hata alipokuja jamaa akapiga kitu lkn ndiyo kwanza mashine ikazidi kusimama.

Baada ya kuona hivyo yasemekana jamaa alimdanganya mpenzi wake kuwa kuna kitu kibaya nyumbani kwao kimetokea hivyo dada arudi akaendelee na mishemishe yake ili yeye (kivuruge) asafiri kwenda nyumbani akajue nn kimetokea. Dada akadanyanyika akasepa. Vipi siku akijua?

Hivi ninavyoongea wazee wamekusanyika wakitafakari namna ya kumfuata mume wa mke wa mtu wamuombee msamaha huyu kivuruge.

Je, mume wa mtu atakubali kumsamehe? Naufuatilia mkasa huu mpk mwisho nitawajuza hapa hapa JF.

Omba yasikukute!
 
Ukisikia mke wa mtu sumu basi ndo kama hivyo.
 
Kuna medical condition priapism hii uume unasimama na kuuma kwa muda mrefu bila kuwepo kwa stimulation yoyote..
Complication zake ukichelewa kwenda hosiptali ndio usahau kisimamisha tena..

Sasa nyie endeleni kiendekeza imani za kishirikina kimbe mwenzenu ndo mnamuua mwenzenu
 
Iwe funzo na kwa wengine, wanamke wamejaa mitaani tena hawanaga hiyana kutoa papuchi but mijitu mingine inang'ang'ana na wake za watu,,, msiba wa kujitakia huo
 
Kuna medical condition priapism hii uume unasimama na kuuma kwa muda mrefu bila kuwepo kwa stimulation yoyote..
Complication zake ukichelewa kwenda hosiptali ndio usahau kisimamisha tena..

Sasa nyie endeleni kiendekeza imani za kishirikina kimbe mwenzenu ndo mnamuua mwenzenu
Mi simooo! Watajua wenyewe.
 
Wandugu kuna jirani yangu "kamtafuna" mke wa MTU siku nne zilizopita, lkn cha ajabu mashine (dushe) yake imesimama wima tangu siku hiyo hadi leo hii na anapata maumivu ya kufa mtu. Jamaa hajaoa, lkn ana mpenzi wake ambaye huwa anakuja na kuondoka.

Juzi alishauriwa amuite huyo mpenzi wake ili amtwange na kuushusha mnara chini. Thubutu! Hata alipokuja jamaa akapiga kitu lkn ndiyo kwanza mashine ikazidi kusimama.

Baada ya kuona hivyo yasemekana jamaa alimdanganya mpenzi wake kuwa kuna kitu kibaya nyumbani kwao kimetokea hivyo dada arudi akaendelee na mishemishe yake ili yeye (kivuruge) asafiri kwenda nyumbani akajue nn kimetokea. Dada akadanyanyika akasepa. Vipi siku akijua?

Hivi ninavyoongea wazee wamekusanyika wakitafakari namna ya kumfuata mume wa mke wa mtu wamuombee msamaha huyu kivuruge.

Je, mume wa mtu atakubali kumsamehe? Naufuatilia mkasa huu mpk mwisho nitawajuza hapa hapa JF.

Omba yasikukute!

Huo ni ugonjwa, unaitwa PRIAPISM, mwambie aende hospitali.
 
Back
Top Bottom