NdimnofuUnoge hilo myangu
Umeongea kinyakyusa hapo chini umeashiria ukabila, ningekutajia mkuuHello! Eid Mubarak kwenu nyote.
Naomba kujua ni maeneo gani kariakoo ambako kunapatikana machimbo ya SIMU za jumla hasa SIMU ndogo maarufu kama viswaswadu.
Nimezurula sana Leo na bila mafanikio.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu watanzania wenzangu🙏
Maongezi kwenye Uzi wa kibiashara...peaneni mawasiliano mtaongea private Acha Uzi ujiendee wenyeweHapana mkuu, yalikuwa maongezi ya kawaida kabisa na Wala hayana mantiki yoyote ile mtanzania mwenzangu