Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Status
Not open for further replies.

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.

Updates:

ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.

Update: 2
Mh. Machemli akuongea na ITV Tanzania, amesema hizi hajahamia ACT Wazalendo. Kasema uchaguzi wa kura za maoni, alikua namba mbili, lakini amekata rufaa kupinga matokeo hayo na bado rufaa haijasikilizwa. Kasema wanao sambaza habari za kuhamia ACT Wazalendo, Ni wabaya wake wa Kisiasa.

jamani hizi ni tetesi tu,kama za bibal kuahamia chadema..
 
Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.

Aende kwa amani kabisa wala hatuna kinyongo naye kabisa
 
Machemli alikatwa na wakerewe hata kabla hajachaguliwa 2010. Alipewa ubunge si kwa vile alistahili bali kwa vile ndiye aliyesimamishwa na cdm. Lakini walimwambia atakapokuja mtu mwenye akili ampishe. Ameingia kijana mdogo pale hivyo Machemli hana chake asafiri salama aendako.
 
Huyo aliyetemwa chadema ni "mjinga"! Lowasa aliyetemwa CCM akahamia chadema na kupewa u malaika si mjinga? Itakuwa chadema ndiyo wajinga!

Misukule ina matatizo kweli kweli.

Ulikwepo jana kwenye msafara wa Rais mtarajiwa
 
Huyo aliyetemwa chadema ni "mjinga"! Lowasa aliyetemwa CCM akahamia chadema na kupewa u malaika si mjinga? Itakuwa chadema ndiyo wajinga!

Misukule ina matatizo kweli kweli.

Unamfahamu Machemli kweli? Unawafahamu wakerewe vizuri? Au umeandika kwa vile humu ndani kuna mihemko ya CCM vs UKAWA?
 
Naombeni tu msizifufue zile picha zake tata. Nawaombeni sana kwani sio yeye tu mtamdhalilisha. Tumuhurumie na Shamsa ford. Tusizikumbuke jamani
 
Anatoka mmoja wanaingia 1000.
Kwaheri Machemli.
 
Machemli alikatwa na wakerewe hata kabla hajachaguliwa 2010. Alipewa ubunge si kwa vile alistahili bali kwa vile ndiye aliyesimamishwa na cdm. Lakini walimwambia atakapokuja mtu mwenye akili ampishe. Ameingia kijana mdogo pale hivyo Machemli hana chake asafiri salama aendako.

Hata mchango wake wa mawazo bungeni ulikuwa mdogo sana
 
jamaa kusema kweli hakuwa active sana bungeni, UKAWA tunahitaji mtu ambazo ni radical na zenye maneno ya ushawishi yenye kujenga hoja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom