Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.
Updates:
ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.
![]()
Lakini wenyewe Act Wazalendo hapo kwa twira yao hawajasema kuwa "ataGombea"!:A S 39:Updates:
ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.
![]()
Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.
Updates:
ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.
![]()
Atafanyeje? ata......??
Kama hii ndiyo official page ya ACT Wazalendo, bado tuna safari ndefu.Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.
Updates:
ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.
![]()
Hatuna ugomvi na machemli ahame kwa amani hiyo ni democrasia. Na yeye anatafuta chakula kwa ajili ya familia yake.