Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Status
Not open for further replies.
Sijawahi kumsikia bungeni hata mara moja..rest in ACT bro
 
Vibaraka kama hawa mwaka huu wataisoma no. Kila wakilala wanamuota Lowassa.

Na kwa muziki wa jana naona magamba yalikimbilia yote kwenye mashimo ya panya
 

Attachments

  • 1439278490792.jpg
    1439278490792.jpg
    126.8 KB · Views: 487
Kashindwa kura ya maoni mwache aende ndio demokrasia,if one door closed just look the next door
 
Sijui kwanini... lakini kila ninapousikia wimbo wa VUTA PUMZI by LONGOMBAS huwa namkumbuka sana Machemli. Kweli sijui kwanini....
 
Hivi kwanni nyie ma SISIEM mmempitisha Kafi.r kugombea kit cha urais.....hi hii maaaaaaaaaaaniiinaaaaaaaa mtaisoma namba mwaka huu ajuza

Hata Nyerere alipitishwa TANU na Wazee wa Dar. - Kumbuka hilo.
 
habari kamili
 

Attachments

  • 1439320436707.jpg
    1439320436707.jpg
    14.6 KB · Views: 6,588
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom