Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

Status
Not open for further replies.
Ha ha haaa,eti wametweet vp?.
......atatombea jimbo.....!.
Unaharakia nn wewe,angalia usijetukana watu humu.
Aaa,ahame tu maana amejaaliwa kuwa MPINZANI milele.
VIVA UKAWA.
 
attachment.php

anatombea
























Duh kweli atatombea uchaguuzi mpaka ajizae
 
Rekebisha kwenye sentensi ya "atagombea,,nadhani kilichoandikwa hapo yanaweza kuwa hata matusi.

nadhani kila raia yuko huru hiyo ndiyo demokrasia,ni haki yake.

Hujui kwenye whatsapp grps leo hiyo ndio breaking news ''atatombea'' badala ya atagombea. Ni shida haya majitu ya act wasariti hayako makino sana
 
Jamani sijui ni macho yangu yanaanza kufa ua ni kuona vizuri zaidi yenu. Hapo kwenye twit sijui huyu Bwana Machemli atafanyaje huko Bukerewe kwetu???? Someni kabla ya kututumia hivi vitu jameni
 
Aliendika hiyo tweet mwambie aache matusi atatombea ubunge maana yake nini?
 
"Atatombea"?! Ndiyo maanayake nini tena? Anyway safari njema kwake.
 
All the best Machemli. Pole pia kwa kushindwa kura za maoni chamani kwetu
 
Hii ni noma sana
 

Attachments

  • 1439329463065.jpg
    1439329463065.jpg
    30.6 KB · Views: 376
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom