Wameondoka wabunge na madiwani wengi sana kutoka m kwenda cdm lakini sikusikia wana ccm wakijifanya miungu watu kwakuwatabiria kufa kisiasa! Sasa nawashangaa Hawa Nyumbu wa cdm cjui wakoje!!Hali hii bado hamjachukua nchi mnaonyesha hali hii je mki....siwapinzani watakwisha?!!
Machemli hajawahi kuwa serious. Nakumbuka alipopata ubunge alipotea nyumbani na jimboni. Ikafia hatua mkewe akamfuata Dodoma akiwa na mtoto anayeumwa. Baada ya kuchunguzwa hospitalini ikabainika yule mtoto alikuwa na utapiamlo. Hazikupita siku nyingi, yule mtoto akafariki dunia. Fikiria, mtoto wa mbunge anafariki dunia kwa utapiamlo (Kwashakoo)! Nadhani hiyo pekee ilitosha kumjua Machemli ni mtu wa aina gani.
Siyo akikosa,bali anakosa
Mleta mada, kwenye huo mstari wa tatu neno la mwisho kwenye hiyo tweet kuna tusi kubwa mno hapo. Nadhani kuna kosa la kiuandishi kwa huyo aliyetweet. Hili ni tatizo kubwa.
Machemli hajawahi kuwa serious. Nakumbuka alipopata ubunge alipotea nyumbani na jimboni. Ikafia hatua mkewe akamfuata Dodoma akiwa na mtoto anayeumwa. Baada ya kuchunguzwa hospitalini ikabainika yule mtoto alikuwa na utapiamlo. Hazikupita siku nyingi, yule mtoto akafariki dunia. Fikiria, mtoto wa mbunge anafariki dunia kwa utapiamlo (Kwashakoo)! Nadhani hiyo pekee ilitosha kumjua Machemli ni mtu wa aina gani.
Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni.
Updates:
ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu.