Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa na usumbufu sana kwangu kulielewa. Ni kuumwa? au ni kuwa na mipango mingi kuzidi wanaume, au ni ulafi tu wa hela? Wanapata mishahara kama wanaume pale ofisini kwenu, au pengine hata kuwazidi wanaume fulanifulani, lakini bado watadanganya wapate muda wa kuuza K sehemu sehemu.
Niulize kidodo hapa jamani, hivi kweli si wagonjwa wa akili wanawake wa aina hii? Na ukiwa na mtu kama huyo katika ofisi unamwachaje katika ofisi hiyo hata kama anajua saaana kutaipu kompyuta.
Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa .. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?

Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa….. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?
Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa na usumbufu sana kwangu kulielewa. Ni kuumwa? au ni kuwa na mipango mingi kuzidi wanaume, au ni ulafi tu wa hela? Wanapata mishahara kama wanaume pale ofisini kwenu, au pengine hata kuwazidi wanaume fulanifulani, lakini bado watadanganya wapate muda wa kuuza K sehemu sehemu.
Niulize kidodo hapa jamani, hivi kweli si wagonjwa wa akili wanawake wa aina hii? Na ukiwa na mtu kama huyo katika ofisi unamwachaje katika ofisi hiyo hata kama anajua saaana kutaipu kompyuta.
Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa .. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?
Salute to King'asti na OLESAIDIMU kwa majibu yaloenda shule.
Mleta mada, ungeileta mada yako ikabeba maudhui ya kiimani zaidi au madhara ya kiafya yatokanayo na ngono kwa pesa hasa mnunuzi anapokuwa na final say huenda ingekuwa na mshiko. Lkn hilo la wadada wa ofisini subordinates wako wanaoenda kufanya mapenzi/ngono kwa permission yako, na ulalamishi wauleta JF sio kabisa.
Hahahah, l think l know his type. LOLPamoja da Kaunga kuna mdau amemuuliza au yeye kanyimwa ilhali watu wanaenda kupewa katikamuda wa kazi na yeye mshahara atoa kama ada!!!!!!
Hahahah, l think l know his type. LOL
The unlucky ones ambao hawana skills au charms za kuwapata wadada hata kama ana pesa kiasi gani. Matokeo yake huishia kuwaona wengine wadhambi kuliko shetani, huku kimoyomoyo anawatamani.
We had a guy like that kwa ofisi yetu. Sms zake za kutongoza it's laughable.

Ha ha haaaaaa my dada utanifanya nionekane kituko hapa yaaani kama unamuona jinsi unavyosema you think you know his type while nodding head!!!
Na huyo anayetongoza kwa sms naye anatuaibisha sasa why achague njia ambayo sio murua kwake na kuacha ushahidi!!!!!!
Mmmmmmhhhh kwa hiyo dadangu watu bado wana go arround that thing???!!!
Hahahah, l think l know his type. LOL
The unlucky ones ambao hawana skills au charms za kuwapata wadada hata kama ana pesa kiasi gani. Matokeo yake huishia kuwaona wengine wadhambi kuliko shetani, huku kimoyomoyo anawatamani.
We had a guy like that kwa ofisi yetu. Sms zake za kutongoza it's laughable.
King'astiWe buluwaya inaelekea kuna mtu kakunyima kitu hapo ofisini kwako. hii hii kitu hii hapa kuna mtu kakunyima apo ofisini kwako. ongea na uyo mtoto vizuri tu aise. ni wasikivu hawa atakugea tu... achana na hii ya kuja kuchongea uku JF
View attachment 110032
Mfanyakazi anayoyafanya kwa muda wa ziada hiyo haikuhusu kama mwajiri. Kuna code of conduct na inaongelea kuhusu ruhusa. Kama yuko smart actually angehakikisha anachukua likizo ya wiki nzima kila bunge na lile la bajeti anachukua likizo ya wiki 2 kabisa akauzeeee hadi abakishe change.
Ofisi gani mnapeana ruhusa kwa visms vya simu? Hebu kuwa serious ili watenda kazi nao wawe serious.