Machalii mwenzangu mshawahi kukutana na hii?

Machalii mwenzangu mshawahi kukutana na hii?

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,063
Nigani asee umu ndichi.!!Naimani mko yente,,Bac aikwereki..Hivi machalii/wajuba wenzangu mshawahi kutana na hii uko WhatsAde au Fesibengalee waga mnawajibuje awa bitch*s?

@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Attachments

  • chat.jpg
    chat.jpg
    41.4 KB · Views: 36
vijana wa arusha mna matatizi gani lakini ? mimi ni kijana ila hua nachukia mnavoongea hivo
 
vijana wa arusha mna matatizi gani lakini ? mimi ni kijana ila hua nachukia mnavoongea hivo
Mkuu, Arusha ina maisha yake tofauti kabisa na huko mnakoishi nyie, na miaka kadhaa ijayo sie wa Arusha tutakuwa na Lugha yetu wenyewe tofauti kabisa na huko kwenu. So, ni vizuri ukapita na mishe zako zingine tu utuache hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu Whack anataka kuleta Perepete mingi apa fasi duas asee?!Kama niaje nivipi avunge na apite ivi,Mwambie hii ni Nchi nyingine Chaliloo United State of Arusha(USA)
 
Sasa arifu si utambae na gepu hii fasi ya dwasi nani amekuita ? Tuliza wenge jombaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Atulize Wengeree apa kati asee jombalai..!!Kama kaja na mia tutamrudisha na izoizo mkadewade,,Asilete Mangendembwee. ya kushato kwenye Lugha hii adhimu tunayobofonga.
 
Ni madavada wanajiect kama mamanzi ariff, ukijimix tu umelamba joker mwanaraga

Faraganya kuwachukulia ponzponzi
 
Hahahaaa arifu umezama ndichi ya madufwee bablai

Hiyo ni pakalandii pusiiyakoro wallahi

Fanya kuisororaaa tu bablai hamna mafekecheee hapo inataka kukugeuza kishkwambe tu yaan ile akijifeel anapress minongora inawezelewezele[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

KUMBE HII LUGHA RAHISI TU, CHA KUFANYA WE ROPOKA TU NENO AMBALO UNAHISI LINAENDANA HALAFU LIPAMBE KWA LUGHA ZETU ZA MTAANI[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee Kiswahili cha Arusha ni lugha nyingine kabisa.....
 
Atulize Wengeree apa kati asee jombalai..!!Kama kaja na mia tutamrudisha na izoizo mkadewade,,Asilete Mangendembwee. ya kushato kwenye Lugha hii adhimu tunayobofonga.
Hao hapa machalii wa arachuga
photo_2019-04-01_14-12-48.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom