Machale yamcheza JK , aamua kukagua mashamba yake Dodoma

Machale yamcheza JK , aamua kukagua mashamba yake Dodoma

Ndio maana leo tulikuwa kwenye foleni.
Kumbe wastaafu hawa bado wangali wanaheshimika.
Ningelishangaa sana kama tungelipishana naye barabarani kama RAIA wa kawaida.
 

Duh....hali imekuwa hali huko chamani. CHUMA alichowaletea watanzania kimeshakomba ardhi ya urithi!
 
Sikio halizidi kichwa,bila kikwete magufuli asinge kuwa rais.magu hawezi fanya ukuda kama huo hata siku na moja.kila mtu duniani ana bosi hata magifuli bosi wake ndio kikwete
Humjui Magu mkuu, hana shukrani hata chembe. Kila siku anamtukana mkwere kuwa nchi ilichezewa. Akamuita mpumbavu kwa kusaini mkataba wa bandari ya Bagamoyo...kila hotuba lazima mkwere atukanwe...ila watanzania wanaujua ukweli kuwa nani kilaza kati ya mkwere na huyo mzee wa chato
 
Labda kaenda kuwakabidhi urith.

Jana tuliosafiri kwa mabasi kwa njia hiyo walitufanya tumefike safari zetu saa6 za usiku.walitukalisha hapo kibawigwa saa 2 na zaidi.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, huyo Mkurugenzi na watendaji wake ni external speakers radio ipo chumbani
 
hilo shamba analima zabibu ?
kama hakuna zabibu lichukuliwe haraka haraka
KWANZA HAPA KATUDANGANYA ENEO HILO HAWEZI KUNUNUA ENZI ZA MWALIMU ,KIPINDI HICHO MWALIMU ALIKUWA AKIWATAZAMA KWA MACHO MATATU,HUYU KAJINYAKULIA ARDHI KWENYE UTAWALA WAKE SEMA UKWELI MZEE SISI BINADAMU TUMEUMBWA NA TAMAA+UBINAFSI
 
Raha ya ukubwa hii,sheria kwa wakubwa,huwa zinakosa makari,sie watu wachini,ukimiriki hata heka 10,serikali za mikoa,zinakutorea macho,hapo Dodoma,baada ya kutangazwa kuwa jiji,hata ardhi tuliambiwa sio,ruhusa,kuuza wala kununua.
Sasa JK tangu 1980,anamiriki mashamba!hivi hiyo ardhi ikipimwa Leo,atakula mamilioni mangapi!
 
Huyu huyu aliyeambiwa anawashwawashwa,mara amesafiri mara nyingi kwenda ulaya kuliko alivyoenda kumsalimia bibi yake kijijini?
Sikio halizidi kichwa,bila kikwete magufuli asinge kuwa rais.magu hawezi fanya ukuda kama huo hata siku na moja.kila mtu duniani ana bosi hata magifuli bosi wake ndio kikwete
 
Back
Top Bottom