KWa style ya watawala wa Africa, sijui kama democrasia ya kweli inawezekana. Nimesoma kwenye BBC, mama analalamika kuwa mkwe wake ambaye anafanya kazi katika serikali ya Mubarak, amelazimishwa kuandamana, la sivyo atakusa ajira. KWa mantiki hio, hawa wanaomuunga mkono Mubarak sio kweli kuwa wanampenda, bali ni kwa sababu ya economic consequences ambazo watazipata iwapo watamungana na waandamanaji. HATA hivyo, kama kweli Mubarak hawafai, there is no way, out, inabidi ATOKE, na wa kumtoa ni NGUVU YA UMMA.
Tukiachana na MIsri, the same situation inaendelea hapa nchini kwetu Tanzania. Angalia sakata la DOWANS, wanaotetea malipo wanamaslahi gani kwa nyuma? tupo kwenye janga lakini bado waziri mzima anasema lazima tulipe, inaingia akilini kweli? hapo hapo inabainika kuwa chanzo cha matokeo mabaya ya F4 2010 ni ukosefu wa zana za kufundishia, maabara duni, maslahi mabovu kwa walimu etc. TWAELEKEA WAPI SASA? VIVA EGYPTIANS!KEEP ON GROOVING