Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Asee wazo zuri sana...kwann Wapalestina wasipewe hizo ardhi?
Mi mwenyewe nashangaa,

Nchi ya Australia TU kule wanamiliki bara Zima peke yao, wameshindwa ata kuiendeleza ardhi (10% TU ndo imetumika).

Ni mapori juu ya mapori wanakaa kangaroo na nyoka TU kule.

Ukienda Brazil, Amazon Ni mapori juu ya mapori.

Ukienda Canada, Ni nchi KUBWA mno karibia nusu nzima ya bara la AFRICA ila inazidiwa population ata na mkoa wa mwanza TU.

UNABAKI MDOMO WAZI, apa namlaumu pia aliwarudisha waisraeli pale wkt dunia Ina mapori kibao. Amekwenda kutengenezea mgogoro unaogharimu maisha ya watu sahv.

Sijui
BINADAMU TUMEKUA NA AKILI ZA NAMNA GANI kwa tamaa zetu za kipumbavu.

Afu Kuna jamaa mmoja eti sahv anafanya utafiti tukaishi Kwenye sayari nyingine, wakati hata Hii Dunia tulokuepo hatujaweza kuijaza hata nusu.
 
Ki
Waandamanaji sio wapalestina ni raia wanaoumizwa na vitendo vya Israel
Kosa la isriel liko wapi yaani wahuni warushe makombora ya kuuwa watu waachwe tuu unadhani hata baadhi ya wapalestina hawapendi hao wanamgambo sijui wewe mtanzania unapenda kwa lipi na huruma iko wapi wanajificha katika ya watoto sasa wanashughulikiwa nyumba hadi nyumba
 
Asilimia 95% ya hao waandamanaji ni Waislamu. Sijui kwa nini hawaandamani ISIS Alshabab na Boko Haram wanavyochinja Waislamu wenzao. Ni wanafiki tu.

Israel zidisha dozi.

NO MERCY

RTI
Mi naona sisi kama wanaadamu tunapaswa sasa kurudi kwenye kupima mambo kibinaadamu na sio vinginevyo cs tunaathiriwa saana na dini kiasi cha kushindwa kuchunga baina ya kupenda na kuchukia
 
Asilimia 95% ya hao waandamanaji ni Waislamu. Sijui kwa nini hawaandamani ISIS Alshabab na Boko Haram wanavyochinja Waislamu wenzao. Ni wanafiki tu.

Israel zidisha dozi.

NO MERCY

RTI
Acha ujinga wewe. Kwasababu wewe ni pumba,usidhani dunia zima ni mapunda wafia dini kama wewe
 
Back
Top Bottom