Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 193
- 204
Haha...iyo fursa imekaa kutufokea Sana hasa Sisi vijana wasio na hela .......okay okay tajiri mwenye fwedha akajitafutie shamba nitakuwa apo kama mkulima mbobeziPale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.
Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.