min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,659
- Thread starter
- #21
Yeah mbele ya madizini ,kwa sasa matajiri wa pale tumewadhibiti wamasailile bonde ambalo ukiwa unaenda Turiani lipo upande wa kulia...
ila kuna shamba la Mstaafu maeneo yale pia sijui..
halafu wafugaji kipindi cha kiangazi huwa wanalisha mifugo ujiandae, labda kama siku hizi pametulia..