Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,446
- 13,799
Sawa ni mdogo blood but they don't share blood vessels.Anacheka na dogo..
Unaambiwa dogo ni mdogo blood mbona mkorofi hivo πππππ
Acha kabisa nafikiria ivyoDogo anatakiwa arudi kwao wewe Baki na mkeo. Hakuna usalama hapo. Ukicheka na nyani utakuja kuvuna mabula.
MkeUtaua mke au dogo ss mkuu π
Nguzo we jau πππππAna muitaga anakaa kwenye kiti wanapiga story mpaka wamenipa nik name naitwa bwana nguzo kweli
Ntakupiga Mwachiluwi ππUtani wa ngumi
Mh kivipHakuna baya ila angalia wasije kuwa marafiki wakapitiliza kwani wanaweza kugeuka maadui baadae na ukalazimika kuanza kutatua migogoro
Huenda mkeo ni Rika na dogo wako kiakili
Hapo sasa ndio kuna shida mkuuπ π ... Jitahidi huo mstari wa mpaka kwanza uusogeze juu kidogo ili uache nafasi kubwa ya uhuru(kucheza) hapo katikati.Story zinakua hamna sasa
Et wanamuita nguzo...Sawa ni mdogo blood but they don't share blood vessels.
Mpaka mmoja apigwe ndio naachaAchana nae kaka ππππ
Et wanamuita nguzo...
Just imagine ππππππππ
Hapana ni mpole siwezi kuongeaNa wewe mchekeshe, itakuwa una gubu kama mtu fudenge
KaribuKaka nakuja WhatsApp
Huyo mpemba ntamkata mitama, namsikia sikia sana lisemwalo lipoππ ,hi babe Mwachi..Ahahah mpemba hapana financial services
Sure siku iyo nawasikia ana mwambia peleka chap bwana nguzo uyo anatoka chumbani asikukuteNguzo we jau πππππ
Broo natania
Una nguvu izo mkuu jichanganyeNtakupiga Mwachiluwi ππ
Kumbe wizo wangu financial services ndo zuchu, watu mna siri πππAhahah mpemba hapana financial services