Sasa kwanini mcheke kidogoπ π π fanya mcheke sana mkiwa chumbani ili mzani ubalance mkuu.Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Sasa hata akiondoka ameshaichapa na amekoshwa na ucheshi wa dogo inapunguza nini? Poor BrainAnaondoka soon
kwa hiyo na wewe demu wako akiwa anapiga story na mshkaji, hadi fununu zinakufikia kuwa jamaa ana mmanua demu ako utalipokeaje?Hakunashida mbona yupo na shemeji yake hii ndo nayopitia kuna demu wa mshikaji napiga nae sana mastory sasa kama jamaa yake mume wake anaona wivu kinyama anaishi napiga kumbe wala ni story inapaswa kujiamini
Nitaua mtu hapoJifanyee unasafiri alafu ucku urudi uchunguliee Kwa drishaa uone yanayoendelea ndani chumbani kwako alafu ufe Kwa presha kisa kuona dogo anavyopress hyo Mali ya mkeo πππ
Hakikaa n huzuni..
Story zinakua hamna sasaSasa kwanini mcheke kidogoπ π π fanya mcheke sana mkiwa chumbani ili mzani ubalance mkuu.
Mdogo form fourSasa hata akiondoka ameshaichapa na amekoshwa na ucheshi wa dogo inapunguza nini? Poor Brain
ππππππ Leo nacheka sanaSasa hata akiondoka ameshaichapa na amekoshwa na ucheshi wa dogo inapunguza nini? Poor Brain
Muda mnapika wali wa nazi ya kukuna, muda huo wife wake nae anakunwaMkuu unatakaga kunigombanisha na jamaa πππππππππππππππππππππππππ
Acha tupike leo wali wa nazi ya kukuna
Bora umeongea asekwa hiyo na wewe demu wako akiwa anapiga story na mshkaji, hadi fununu zinakufikia kuwa jamaa ana mmanua demu ako utalipokeaje?
Utaua mke au dogo ss mkuu πNitaua mtu hapo
Achana na jamaa π π π πMdogo form four
Utani wa ngumiMuda mnapika wali wa nazi ya kukuna, muda huo wife wake nae anakuwa
Anacheka na dogo..Muda mnapika wali wa nazi ya kukuna, muda huo wife wake nae anakuwa
Achana nae kaka ππππUtani wa ngumi
Ana muitaga anakaa kwenye kiti wanapiga story mpaka wamenipa nik name naitwa bwana nguzo kweliDogo anashindwa kujua mipaka ya heshima yake mtoto wa kiume kama Dada/Mama/Shemeji akiwa yupo jikoni anapika yeye haruhusiwi kukaa jikoni akiingia kuna shida muhimu sana
Kaka nakuja WhatsAppSi umegoma kuja kuzichukua