Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
- Thread starter
-
- #201
SawaHuenda ukawa huumpi mkeo muda wa kutosha pindi anapokuhitaji na badala yake ameiona fursa ya muda kwa mdogo wako,punguza ubize ndugu yangu.
Au kama una Haiba ya ukali,kutokuongea nae mara kwa mara juu ya maswala mbalimbali hasa yanayolenga familia yenu inakubidi uanze kufanya hivyo ili kumkeep close mkeo .
Then acha kuwa na mawazo hasi juu ya ukaribu wa mkeo na mdogo wako maana utajikuta unataka kufanya maamuzi ambayo siyo sahihi kwa mkeo na mdogo wako(Build a positive perception concerning their closeness).
Kama ukithubutu kumzingua mkeo/Dogo wako juu ya swala hilo,trust me kwamba unakaribia kujenga familia yenye mpasuko na isiyokuwa na upendo uliokomaa.
"USIJARIBU KUUENDEA KWA PUPA MTEGO UNAOHITAJI AKILI".
SWaMuite dogo mkalishe chini muekee mipaka awe anaheshima na shemj yake
Ko usipompikia hakiliki?Ukiona nampika ujue analiwa usiku so namuandaa kiakili af iyo siku chakula kinaliwa chumbani
Hapana ila ni mazoea tuKo usipompikia hakiliki?
Haya mkuu.Endelea tu π
Kipi ikoNimekumbuka mbali sana.
Mazoea ndo tabia.Hapana ila ni mazoea tu
Chimba mtalo tuTembo mliwazuiaje?? Na pundamilia. Mliweka kituo Cha ulinzi
Basi mlijitajihidi vijana walichoka snaa mlizungusha mtaro wa kutoshaChimba mtalo tu
Scaverot ilipita vijana wamepanda tyBasi mlijitajihidi vijana walichoka snaa mlizungusha mtaro wa kutosha
Naunga mkono hojaKama anasoma basi anamhadisia vistory vya hapa na pale vya wanafunzi wenzie hivyo usimind
Baba A.D. ameamua kwakweli ππππ ila ipo siku mtawakuta Nyati humoScaverot ilipita vijana wamepanda ty
Aliingia kuna vijana wanalinda siku wanyama wakitibuka wanakimbizwa ila hawajala kama tulivyo tegemeaBaba A.D. ameamua kwakweli ππππ ila ipo siku mtawakuta Nyati humo