Mabosi wanavyotumia vyeo kulazimisha ngono

Mabosi wanavyotumia vyeo kulazimisha ngono

Ila mkuu sometimes ni kina dada wenyewe. Unakuta mwanadada anafahamu fika bosi ana mke na familia kabisa lakini yeye mwenyewe bila haya anakua anajilengesha either kwa tamaa ya mafanikio au labda anakua amezimika na charms za bosi. Mfano mzuri ni dhana iliyopo vyuoni kwamba ma lecturer wengi wakiume wanalazimisha ngono kwa wanafunzi wa kike ili waweze kuwafaulisha ila mimi chuo nilipomaliza kuna lecturer mmoja aliekua anatufundisha somo la International banking alikua ni kijana mmoja smart sijawahi kuona. Jinsi anavyojiweka, personality na hata ufundishaji wake ndo ukawa unawaua ma classmates wa kike, si ndio wakaanza kujilengesha kwa ticha? Misele ya ofisini kwake haiishi af ticha hana habari nao. Kwa kifupi mi naona bosi wala hamshikii mtutu wa bunduki mfanyakazi wa kike, ila yeye mwenyewe ndio sometimes ana influence mazingira ya kutifuliwa na bossi.
 
Jamani tusipotembea na maboss humu ofisini mambo hayaendi kabisa. mf mshahara huongezwi, semina huendi we utabakia 365days unasugua kiti na meza.
 
Mkuu pamoja na kuwa wao ni waamuzi wa mwisho,wanawekewa mazingira magumu sana,kwa kifupi hawawezi kutoka!

This is serious sasa kwamba hawana utashi wala maamuzi binafsi ila ni watu wa kuendeshwa na mazingira???!!!
 
unajua ni sawa na kuwafukuza wamachinga maeneo ya kufanyia biashara wakati wananchi ndo mahitaji wananunulia huko. tatizo la wamachinga linakua la nani. Kaika swala /mada hiyo la kuuliza mnafiri wanalazimishwa au wanajisikia sifa kutembea na mabozi kama kujichukulia umaarufu ( WHOSE PROBLEM IS IT?)
 
Vipi wale wanaotembea na mahausi geli? Halafu inatokea beki tatu kaishika nyumba hatari
 
Mkuu unataka tugongewe wake zetu maofisini?

Ndio mana nikasema wake za watu wasikomaliwe sana especially kama anaonyesha kuwa na msimamo, lakini kumbuka kuna wake za watu ambao wao ndio wanajilengesha mbaya kabisa ss kwa nini waachwe????
 
Back
Top Bottom