Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 319
- 510
Baadhi ya mahakama ambazo Serikali ya awamu ya tano imejenga kwa lengo la kuboresha miundombinu na mazingira ya mahakama hizo ni kama zinavyoonekana katika picha.
Majengo ya awali ya mahakama hizo yalikuwa yanatia huruma sana. Hii inaonesha jinsi gani Serikali ya awamu ya tano inavyodhamiria kuongeza miundombinu na kujali haki kwa wananchi wa Tanzania.
Majengo ya awali yalikuwa hayajitoshelezi, ofisi za mahakimu hazikuwa mzuri, samani mbalimbali kama vile viti, meza na makabati vilikuwa vimechoka sana.
Lakini kwa sasa baada ya ujio wa Mhe. Rais Dk.JOHN POMBE MAGUFULI mambo haya yaliyokuwa yakionekana kuwa yameshindikana kufanyika nchini yameweza kufanyika na tena kwa kiwango kikubwa.
#TanzaniaKwanza #Tanzaniampya #ChangeTanzania
Sent using Jamii Forums mobile app