Maboresho ya Mahakama mbalimbali nchini

Maboresho ya Mahakama mbalimbali nchini

Onyesha na ya chato tuone kama inafanana na hizo,na siku nyingine ukome na usanii wako,madikteta wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetaka mahakama ya Chato. . .picha hiyo hapo ila haiingia kwa mahakama ya Musoma. Halafu siku nyingine acha ushamba wa majengo
mahakama musoma.JPG

mahakama chato.JPG
 
Sio chato tu kama wakuda wanavyoaminisha watu na kuwekq kando ukweli angalia picha za mahakama mbalimbali nchini zilizo jengwa nchini


Kama unazo huko uliko weka na wewe


State agent
IMG-20191218-WA0031.jpeg
IMG-20191218-WA0036.jpeg
IMG-20191218-WA0035.jpeg
IMG-20191218-WA0027.jpeg
IMG-20191218-WA0016.jpeg
IMG-20191218-WA0015.jpeg
IMG-20191218-WA0017.jpeg
IMG-20191218-WA0014.jpeg
IMG-20191218-WA0028.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shigganza,
Hii ni danganya toto, unataka kumwadhibu usiyempenda unachanganya na watoto wengine ionekane ni adhabu ya jumla ! Mnadhani nani mtoto hapa. Hivi kwanini hamna akili hata kidogo!
Akili ya kike kabisa !!! Kwa hiyo uonavyo wewe bora zingeachwa zote😂😂😂😂 watanzania bana, yani hatukosi cha kukosoa, huu ni ugonjwa mbaya sana lakini la kutia tumaini kwamba hizi kelele ni za mitandaoni tu nje ya humu mambo ni tofauti sana.
 
Back
Top Bottom