Maboresho ya JF - 2019


Kwa sasa kama hii huijui.. tumia watch thread, utaweza kuingia kiurahisi na kuendelea kusoma.. kuna option mbili zitakuja kwa pop up window.. utachagua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa manufaa ya uzi wetu ule wa kuondoa stress, moderators, tafadhali copy post hii na kui paste kule kwenye uzi wetu huo pendwa wa kuondoa stress.
===
Kweli, Mkuu hii haikubaliki.
 
Maboresho ya Miundombinu yamepangwa kufanyika usiku wa manane wa tarehe 26/03/2019. Ni nyongeza ya servers kuongeza ufanisi zaidi.
Shukrani na Hongera kwa maboresho yaliyofanyika. Na ukweli mmetekeleza maoni ya walio wengi. Mfano, kurudisha 'kwa nguvu' kitufe cha 'dislike' na kuongeza viashiria mbalimbali jinsi member anavyoitazama posti iliyowekwa jukwaani.

Kama awamu ya maboresho haijaisha; ningependa (nadhani inawezekana), tupewe takwimu za viashiria vilivyowekwa na members kwa kila post. Mfano, hiyo post imepewa dislike ngapi, thanks ngapi, Hahaa ngapi na kadhalika. Lengo, kupima na kujua uzito wa post iliyowekwe kwa mtazamo wa members wa JF. Hii itasadia katika maamuzi ya kuifanyia kazi post hiyo. Kumbuka mimi ni mmojawapo ya wale members wanaotumia JF kama sehemu ya kujifunza.

Natanguliza shukrani.
 
Hatuzimi 😊
Mkuu sekyu vere machi sekyu so machi kwa kitufe cha dislike!
Kwa jinsi kilivyowekwa kiemoji emoji jumlisha na mwonekano wake kikitumiwa najikuta kuomba next maboresho hii kitu iwe kama muhuri kwenye paji la uso.
 
Mi binafsi nimependa hiyo thanks
Kwanza inatofautisha JF na mitandao mingine
Kuna member wanaposti wanavyovijua wao ili tu wapate likes nyingi kama FB, hii imesababisha kushuka kwa hadhi ya jukwaa kutokana na pumba nyingi
 
Ukipapasa cursor ndio unaona vyote ila kabla ya kufanya hivyo unaona thanks pekee. Tatizo langu bado ni kuwa kwa nini thanks iwe ni default? Halafu, katika hali ya kawaida huwezi kupapasa na cursor wakati hakuna other options kwenye label ya kitufe.
Sie tunaotumia simu hiyo cursor tunapapasia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…