Mabomu yarindima Moshi ili kusafisha njia Lowassa apite

Jumapili tulivu.

Maeneo ya Bomambuzi unaendelea uchaguzi wa diwani ambapo leo jumapili Mh lowasa ametia timu.watu ni nyomi ya hatari.

Wameanza kufyatua risasi za moto na mabomu ya machozi ili kutawanya umati.
Hahahaha mkuu Leo jumamosi au ni taarifa ya kesho?
 
Naona alitaka awe wa kwanza kuhabarisha umma. Katika uandishi wa habari tuna kitu kinaitwa News Values na hizi ni pamoja na truth na accuracy. Tukio linaweza kuwa la kweli lakini likawa taarifa zake ulizoziwasilisha kwa umma zikawa sio accurate. Leo sio Jumapili, pili eneo lililorushwa mabomu linaitwa Manyema.
 
Anatakiwa ahakikishe taarifa yake alafu atuambie alikuwa anakimbilia wapi? Alafu aweke video hapo
 
Anatakiwa ahakikishe taarifa yake alafu atuambie alikuwa anakimbilia wapi? Alafu aweke video hapo
Uchagani hapo watakuwa rombo wanakunywa viroba mleta mada kimemkolea jumamosi anaiona jumapili naomba mumusamehe bure wakuu .kiroba ukikolea kuiona jumamosi kama jumatano ni kitu cha kawaida
 
Naona alitaka awe wa kwanza kuhabarisha umma. Katika uandishi wa habari tuna kitu kinaitwa News Values na hizi ni pamoja na truth na accuracy. Tukio linaweza kuwa la kweli lakini likawa taarifa zake ulizoziwasilisha kwa umma zikawa sio accurate. Leo sio Jumapili, pili eneo lililorushwa mabomu linaitwa Manyema.
Kuna uchaguzi wa madiwani huko. Leo hii?
 
Kama ni wa lumumba huyu atakuwa ameshalipwa buku saba za Siku saba zilizopita anaanza wiki Mpya
 
Back
Top Bottom