Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

kama unaipenda tz nenda katoe taarifa polis,isijekuwa mwigulu anakutumia ili uwaaminishe watu mipango yenu ya baadae ishinde. siipendi ccm, mwampamba,shonza, nape,n.k
 
Halafu watu wanatokwa na povu, oh CCM Oyeeee, huku kina vuvuzela wakiwacheka kwa ujinga kuwa wamewashika panapostahili. Kabla ya kuipigia mayowe CCM jaribuni kujiuliza wamefanya nini toka tupate uhuru mpaka hapa tulipofika. Jamani mbona ni kitu kidogo sana kwani hali halisi inajionyesha, mifano hai si ipo? Miaka ya 70 tulikuwa tunakula sahani moja kwa umasikini na hizi nchi zifuatazo: Brazil, India, Malaysia, Singapore, Pakistan, na Ufilipino. Leo hii ni miaka arobaini na kitu wenzetu wametuacha mbali ile mbaya sie ndiyo kwanza tunarudi nyuma hatua kumi japo tuna rasilimali za hajabu ambazo wenzenu hawana. JK si juzi juzi tu hapa alikwenda kubembea Brazil baada ya kuona maajabu. Bado tu mnataka kutawaliwa na CCM? Hakuna kiongozi yeyote wa CCM mwenye mtazamo mzuri kwani wote waliopo pale ni wale wale tu yaani wako recycled ndani ya chama hivyo kuwachagua wao tena ni kujiletea majanga yasiyotibika. Udumu upinzani, kidumu chama cha JF na mawaziri wake watarajiwa.
 
Inachekesha jinsi watu wengine wanavyoweweseka.kwa vyovyote vile vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kukwepa lawama.vinginevyo wawajibike.kumbe mhalifu yeyote wa matukio haya anambinu,maarifa pengine na zana bora kuliko wao ? TUFYILE BASI WATZ !
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

mkuu huko niliko weka alama nyekundu umetumia lugha gani?

kwa maelezo yako unawatetea polisi?
 
Zote hizi ni targeted za babu kuhakikisha nchi haitawaliki.

Hii single ilisha chuja siku nyingi, acheni kuua watu mkidhani hii itawaokoa!

Safari hii hamchomki, chezea kizazi cha digitali wewe, video itawaumbua mchana kweupeee.. arobaini yenu ndo imeisha tinga hivo.
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

Tafuta style nyingine ya kuingilia. Tanzanians are no longer ------. Kila kitu kiko wazi.
 
Back
Top Bottom