Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'mabomu arusha'
sikuwepo arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'chadema' mh mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'mh lema'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka ghadafi!

Mungu ibariki tanzania!
tumia akili unapoeleza hoja hapa. Ni nchi gani ya nje inashindwa kuja kuwekeza hapa tz kwa kikwazo cha cha serikali? Kila siku kiongozi wetu atulii kucha kiguu na njia kuomba wawekezaji kuja tz halafu wewe unakuja na hizi pumba. Mie si mwanachama wa chama chochote lakini mabomu haya ilaumiwe serikali kwasababu ndiye tuliowapa dhamana ya kulinda uhai wa kila mtanzania. Katika hili siasa tuweke pembeni na kujadili uwajibikaji wetu kwa raia. Propaganda zenu ndizo zitakazotumbeleka pabaya. Vyama vya siasa shindaneni kwa hoja na si matumizi ya nguvu. Wananchi wakiendelea na hali hii ya kukata tamaa basi amani yetu sote itakuwa mashakani. Viongozi wetu ebu mtafakari kwa kina kwanini vyama vya upinzani vinakubalika wakati huu kuliko hapo mwanzo. Tutoe majibu ya maswali ambayo wananchi wanajiuliza na wala siyo kumtafuta mchawi. Siasa za majungu ndani na nje ya vyama zitatuweka motoni. Nashauri rais wa nchi katika katiba ijayo asiwe kiongozi wa chama cha siasa tena awe mwanachama wa kawaida ili aweze kutenda haki kwa raia bila kujali ni wa chama kipi. Nijuavyo mimi watanzania hawajafikia hatua ya kushambulia mikutano ya kisiasa kwani wengi wetu ndiyo hobbi yetu kusikiliza mawazo mbadala sasa woga wa nyie wanasiasa unatoka wapi? Sisi sote ni ndugu kuna ubaya gani chama kingine kikaja kutuongoza? Wasipofanya vizuri miaka mitano si mingi si tutawaondoa kwa uchaguzi. Kiongozi asiyependa mawazo mbadala basi ni kiongozi hatari sana kwa ustawi wa raia. Mifano ni mingi ya viongozi wa aina hii. Ombi langu kwa watanzania tutumie fursa ya mabadiliko ya katiba kufuta mfumo wa vyama vingi badala ya kutumia mbinu hizi zinazopoteza maisha ya raia wenzetu tena maskini wa mungu. Pia nawashauri wanajf tuwe wakali pale mtanzania mwenzetu anapopoteza uhai kwa sababu ambazo zingeweza kuzuilika. Mungu ibarika tanzania!
 
mandieta Nasikia, inasemekana kwamba mrusha bomu hakuwa peke yake, ilikuwa, inavyotazamwa..... habari zaidi zinasema kwamba kuna taifa moja.............. NONSENCE TUPU
 
Hukuwepo kwahiyo umeambiwa.
Kamwambie aliyekwambia amekuchutisha
Njoo Arusha nikuelezee ilivyokuwa mwanzo mwisho
 
Hii hadithi alikufundisha nani, Babu au Bibi yako? Alikuambia ina maana gani?

Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Kwa nini mnapenda kututafutia ban? Unapokuwa zero brain like this ni vyema ukakaa kimya..!
 
Hearsay evidence is inadmissible in law, same like what this friend has brought out imaginative story. Yesterday incident would not have occurred if police taken little bit restraint position. So many rumors come when police act and it can lead '' mob'' to retaliate. The aim of the ''brain'' of yesterdays incident is the same. Ultimately put the blame on Chadema.
 
Huyu jamaa aliendika hapa ana matatizo,yan unakaa na kutunga uozo huu,hakuna hata chembe ya ukwel.
 
Mandieta, whatever u call yourself, kachukue 7000 yako haraka pale lumumba. Kazi nzuri, waambie wakupe bonus
 
Jamani jamani watanzania wenzangu! hebu kaeni chini tujitazame! hivi kweli taifa liko katika msiba mkubwa bado mnaingiza mizaha na fikra zinazotia kichefu chefu namna hii?wewe MANDIETA una akili timamu kweli? aliyekuambia chama ni kampuni ya biashara inahitaji kukopeshwa na kupata faida ni nani?
Hebu punguzeni matusi yenu na kejeli dhidi ya watanzania na wafiwa !
 
Muleta mada natamani nikutukane ila naogopa BAN hebu fikilia kama nimesha kutukana tusi linalo uma.
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

uwongo na ukweli haviendani bora ungepiga kimya
 
Back
Top Bottom