Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

Yaani wewe ni bomi kweli kweli, hii taarifa ilianza kuwa na mwanga lakini ulipoingiza story ya Mbowe na Lema nika gundua nasoma ugoro.

Kamanda hapa umechemka hamna chembe ukweli polisi hawajaribu kumkimbiza mtu wala kwa taarifa yako hawakushuka kwenye magari yao.
 
Ulichokifanya hapa ni mwendelezo wa yale mliyoyafanya kwenye uchaguzi wa madiwani majuzi likiwemo tukio la Arusha.
 
Sijui moderators wanafanya nini na thread kama hii! Tume ambazo hata hazikuwa huru zilithibitisha polisi kuhusika kumuua Mwangosi sasa unasumbua macho yetu kusoma mambo ya uchonganishi kama haya, bado moderator unaangalia.
 
mandieta
Join Date : 20th February 2012

Posts : 3,007
Rep Power : 948
Likes Received341
Likes Given0

kwa reputation yako hapa jf ulitakiwa kuwa analyst mzuri lakini....!!!
 
Hamna kitu nachukia kam dharau....wewe unachofanya hapa ni kutudharau sisi...polisi wenye bunduki wazuiwe kwa mawe kumkamata mlipuaji.....basi polisi wetu hawana mafunzo....mawe yawazuie? Mawe..? Acha ujinga
 
Unaamka kitandani, unakimbilia kwenye keyboard kusema inasemekana. Sahihisho, ungesema nafikiria jinsi ya kudanganya leo.
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

Hii habari ni ya uongo ya kutunga, ama uonekane eti unajua intelijensia au kupotosha ukweli. Kwa mfano, hiyo habari ya kwamba eti mbowe alikimbilia kituo cha polisi kuwaomba waje kusaidia kutuliza fujo nimeisikia kwa mara ya kwanza leo asubuhi Chagonja akisema alipokuwa anahojiwa na Radio One. Sasa wewe umeunganisha vipande vya umbea na uongo unatuletea hapa kutudanganya eti tetesi

Kafie mbale!!!
 
wataondoka tu, muda ikifika hawataweza tena kuzuia nguvu ya umma.. RIP waliotangulia
 
Ila ma CCM siyo ya kuyapuuza sana huenda ni kweli milipuko wanayoifanya ni ufadhiri kutoka nje au ndiyo wako kwenye mchakato wa kuwaandaa wafadhiri wa nje ili wazidi kutulipuwa zaidi ili badae wapate cha kusemea kuwa mbona tuliwaonya kuwa kuna chama fulani kinafadhiliwa na mataifa ya nje kwa ajili ya kufanya kazi hiyo.Hata ya Lwakatare yalianza hivihivi.walianza kusema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi mara wanayo cd inayo onyesha CHADEMA wanapanga mauaji,kuteka watu n.k.Bila kujua nia yao hasa ili kuwa ni ipi kumbe ndiyo walikuwa kwenye maandalizi ya kuwateka watu na kuwan'goa kucha na sasa wameanza kutulipua ili ionekane kuwa wanaofanya hivyo ni CHADEMA kwa vile walishawahi kuonya hapo kabla.
 
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika kitapata ridhaa ya wananchi.

Inasemekana kwamba sii mabomu tu,bali ata kwenye makampuni ya simu tanzania watu hao wamepenyezwa ili kurahisisha dhamila yao.

Kuhusu mabomu kuna kundi la vijana ambalo limeandaliwa kuendelea kufanya kazi kama hiyo mpaka katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao ili kuendelea kupoteza imani ya watanzania kwa serikali yao na wao kutumia nafasi hiyo kutwa dora.

Habari zinazidi kusema kwamba kuna moja ya chama cha kisiasa hapa nchini kilikua kipewe msaada wa 20% ya kiasi walichohitaji lakini wafadhili hao wakasita kwa kutoamini kwamba kama kwele wanaweza kuchukia nchi uchaguzi mkuu ujao ikizingatia kwamba chama hicho hakina vitega uchumi vya kulipa endapo hawatachukua nchi.

Baada ya mabishano hayo yaliyoanza mwaka jana,ndipo walipofikia makubaliano ya kusubili mpaka wapate uhakika wa uungwaji mkono wa chama hicho kisha watawapatia msaada kutokana na tathimini yao watakayokua wameifanya.

Taarifa zinazidi kuvuja kwamba mzozo wa gesi na mizozo mingine inayozidi kuja kila kukicha ni katika kutafuta uungwaji mkono ili kuwalidhisha wafadhili wao.

'MABOMU ARUSHA'
Sikuwepo Arusha,lakini mmoja wa mashuhuda na mwenyekiti wa 'CHADEMA' mh Mbowe anakili kwamba walifanya makosa kuwazuia police kufanya kazi yao wakati wakijaribu kumkamata mrusha bomu.

Inasemekana kwamba mrusha bomu hakua peke yake eneo la tukio.
Mrusha bomu baada ya tukio alianza kukimbia huku wenzie wakimlinda kwa bunduki na risasi(single file)ndipo polisi walipojaribu kumfukuza mara likatokea kundi la vijana kama 20 hivi ambao inasemeka waliandaliwa kufanya hivyo na kuwazuia police kwa mawe ili wasiwafuate wahusika,kitendo hicho kilisababisha wananchi wote kuanza kuwashambulia police ambao sasa na wao ili kuepusha maafa zaidi waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kupasua njia kukimbia kurudi zao kituoni.

Baada ya mh Mbowe kwa makusudi au kwa bahati mbaya kubaini kwamba wamefanya mistake kuwazuia police,aliamua kukimbilia kituoni ili kuwaomba police warudi kutuliza ghasia na kutoa msaada kwa majeruhi na police wakampa masharti kwanza akawatulize wafuasi wake kwanza.

'Mh LEMA'anasema yeye binafsi hajawahi kuona mvua ya mawe kama ya juzi waliyokua wanarushiwa police,na anashangaa kulikoni.

My take,
Ni wakati sasa wa msajiri wa vyama vya siasa nchini kutumia sheria ili nchi yetu izidi kua na amani.
Hata libya ilianza hivi na sasa wanamkumbuka Ghadafi!

Mungu ibariki Tanzania!

Hapo kwenye red umenichefua zaidi! Nina shaka kama una hata akili ya funza.
 
Mutaleta mno propaganda lakini sisi tushawajua kuwa hamko tayari kukabidhi nchi kwa wapinzani!
 
Mtoa hoja hajatumia logic wala reasoning. Sijui kasoma shule gani make hata aliyeishia darsa la kwanza anamzidi uwezo wa kufikiri na kutoa mawazo
 
Naungana na wewe mkuu nashangaa hata CCM wanasingizia ni chadema sasa kama nchi ina jeshi la polisi usalama wa taifa na mahakama na CCM ndiyo inayoshika dola si chama cha upinzani wameshindwaje kuwachukulia hatua chadema? tena si ingekuwa credit kwao endapo wangeweza kusibitisha pasipo shaka kuwa chadema ndio wahusika angalau hata kwenye swala moja tu. Ulimboka walidai chadema, mwangosi wakadai chadema, Kibanda wakadai CDM na arusha sasa wanadai CDM CDM ndio nani mpaka serekali ya CCM ishindwe kuwachukulia hatua? hebu tuache siasa za maji taka hivi mnatufanya watanzania ni mambumbu kiasi hicho? AU ni nyinyi ndio mambumbu kwani uongo mnaousema umevuka mipaka sidhani hata kama shetani ni muongo kama ninyi
 
Hamna kitu nachukia kam dharau....wewe unachofanya hapa ni kutudharau sisi...polisi wenye bunduki wazuiwe kwa mawe kumkamata mlipuaji.....basi polisi wetu hawana mafunzo....mawe yawazuie? Mawe..? Acha ujinga

so far, hii ni thread ya kwanza kwa u-pumba kati pumba nilizowahi kuziona tangu nijiunge JF.
 
Back
Top Bottom