Wewe umechangia madawati mangapi mwenzetu?! Mifuko 400 ya cement ni shs 6m! Hata kama anatafuta kick kwa njia hiyo, mbona husemi anatafuta thawabu kwa Mungu kwa kuwajali wahanga wa maafa? ! Mambo mengine tukatae kutenda dhambi kwa matamshi, maandiko na mawazo, hata kama una damu ya kijani, muogope Mungu kwa kupindisha ukweli, Lowassa kaonyesha kuguswa na shida za binadamu wenzie tofauti na aliyesema eti "tetemeko halikuletwa na serikali watu wafanye kazi" kweli kweli hiyo ni kauli ya kuwafariji watu! Nani asiyejua kwamba Tetemeko ni janga la asili, na ndio maana huwezi kukata bima dhidi yake! Eeh Mungu tunusuru!!!!!