THE COMMISSIONER
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 267
- 111
Wakuu,
Nchi imetumia mabilioni ya fedha kufanya zoezi la sensa mapema mwezi Agosti mwaka huu.
Kwa sasa zoezi linaloendelea ni kuchambua na kuziweka takwimu pamoja kama zilivyokusanywa.
Kwa kile kinachoonekana ni uzembe, maboksi yenye data za sensa hii yamekusanywa KIBAHA kwenye eneo ambalo halifanani kabisa na unyeti wa kazi hii yaani kwenye jengo kuu kuu liliotoboka paa zake.
Matokeo yake ni kwamba maelfu ya maboksi yenye data amabazo zilikuwa bado hazijahakikiwa yalimiminikiwa na maji ya yaliyojaa kwenye vyumba vya jengo hilo na nyaraka zilizomo ndani kuharibika kabisa na hivyo kutokuafaa kwa kazi yoyote.
Athatri yake ni kwamba matokeo ya Sensa hayatakuwa na ukweli wowote kwani dat nyingi zimepotea na taifa litakuwa limeingia kwenye HASARA ya DECADE