Mabloo Twitter kuna madem wakali

Hi ni misitari ya wimbo?!? Inawezekana unajiandaa kutoa single
 

Wewe Acha kutuendesha hao mademu wa Twitter wanaliwa na wenye simu za tochi na watu ambao hawajuwi nn Maana Ya Twitter.
 
Hebu tuma angalau 10 users to support your thread ?
 
kuna watu washenzi aisee walilia kwa uchungu wakapost hadi gari ya msiba sina hamuπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Nilipo kuja kufuatulia kwa kina nilichokuja kugundua hao jamaa wanatafuta kiki sana maana screen shot zao huwa kuna Wana members wanazipost sehemu zingine za mitandao yetu kuwa vuta watu kuja Twitter zaidi na zaidi maana ukiwa na followersviews kuanzia 1k ni moja ya mchongo town wa kutangaza makampuni bidhaa zao au huduma zao na kulipwa mkwanja cash au mkataba hichi kitu nilikuwa naomba Maxence Melo
 
Kiukweli Twitter ina wahuni sana balaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Relax.

Mademu wengi Twitter ni "wanaume" tunawaita ma-parody.

Usirukie mtu Twitter, unless unamfahamu na mmeonana. Kuna matapeli pia...wapk wanaoandikiwa, wapo wanao-copy twits za wazungu na kuzirusha kama zao.

Tunajuana english zetu, so ukiona mtu kanyoosha sana twit yake, i-copy nenda kwenye 'tafuta' (search) i-paste hapo ndo utaelewa.

Kuna mabloo na wana huwa nawatazama tu na wana followers wengi lakini kila kitu ni copy and paste.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeshachagua rais wenu wa jamhuri ya Wapwa?

Kule kuna misamiati bana
-Mabloo,wapwa,wakulungwa,parody, wajuba.

Mbona wanawake ni wale wale tu
 
Wadada nao waende wapi kupata wakak handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…