Mabishano ya watoto watatu

Leo2juu

New Member
Nov 1, 2010
3
1
Watoto watatu walikuwa wanabishana kuhusu baba zao.Majibishano yalikuwa ka ifuatavyo

Mtoto wa1: Baba yangu anakimbia sana hadi ukirushwa mshale anaanza kufika yeye kabla ya mshale

Mtoto wa 2: We unasema ana mbio!! mbio gan hizo. Mimi baba yangu ikipigwa risasi anafika kabla ya risasi

Mtoto wa 3: Ninyi wote baba zenu hawakimbii kabisa. Mimi baba yangu anaondoka nyumbani saa mbili kamili asubuhi anafika kazini saa moja na dakika 59 asubuhi siku hiyo hiyo.

Nani mkali???????????
 
Wewe ndio mkali
 
usinisemeeeee...huyo wa3 katusema wafanyakazi wengi!!!!lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom