twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Niwasihi wadogo zangu haya matumizi ya haya madawa acheni yatawaletea madhara ya ukubwani, hakuna wa kuwasemea ali mradi ni biashara za watu, ila nawaonea huruma, acheni haya mambo. Kama unashindwa kuwa na subira maliza masomo yako olewa.