hebu weka kwanza picha niangalie idadi ya makovu yako halafu ntakwambia nachohisi... Zikigoma hapa jaribu hata kuni-PM
Kwa hiyo wewe hujui kutunza vitu vyako mpaka yeye akutunzie?Picha zangu anazo habibi wangu, my Daktaree...labda nikupe namba zake umwambia akutumie...
me nnalo but sidhani kama linanifanya nijiamini..........
Might be true. I used to have one beneath my left booby... lost touch growing up if you know what I mean. Lols.
Lols. Hahahaaaaaaa.Is your pm alright?
Lols. Hahahaaaaaaa.
nimeku pm twice kimyaa
There are things in life that are very difficult to explain.
kweli interestingInteresting.........some truth....niliwahi date miss Tanzania contestant....aliwahi umwa na mbwa utotoni.. alikuwa anahangaika dawa ya kuondoa kovu...kabla ya fainali...wasichana wana shida
Never been better so worry not. Goodnight.like ...what exactly? are you okay?
Mie mwenyewe ninayo zaidi ya kumi ila hata sijiaminigi
dah..mi ninalo kwny paja af kubwa ila la kuzaliwa nalo
aaah kumbe ni weweeeee!!! nshakufahamu....
nyoooo...yatakushnda mwanaume