Kweli, ananipenda sanaaa, halafu kafanana sana na baba basi ndo namuita baba mlezi...
Sasa cha kufurahisha amesomea udaktari, kuna siku akanambia atanifanyia surgery kuondoa haya makovu...nilibaki nashangaa...
Ila kunipiga kanipiga sana jamani, na hivi me mjeuri, na nina mdomo basi mwenzangu haongei ni kipondo tuu....