Research za nn tenaWenzio wanafanya research wapo kucollect data
Kumbe ndo maana hawarejeshi majibu kama wamepata au la.Wenzio wanafanya research wapo kucollect data
Jukwaa liweke masharti ya numba ya simu na picha huenda ni vijeba vinajaribuWakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Wanakuwa hawajavutiwa BTW JF sio mahali salama sana pa kutafuta wenza (sorry to say this)...wahanga wakubwa wakiwa ni mabinti.....wachache wamebahatika..ila waliopigwa ni wengi sanaWakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Mm nakutaka ww na sina jokehahaha huwa wana jok
hahaha huwa wana jok
Alah akikupiga ,dawa yake ni hii ,siku unajifanya unamtoa out sehemu ya mbali halaf unampa jeraha ambalo hatakaa alisahau maisha yake yote,na atakoma kabisa kuchezea wanawake asiokuwa na mpango nao,dawa ya mwanaume anayechezea wanawake ni kumpa jeraha LA mileleWanakuwa hawajavutiwa BTW JF sio mahali salama sana pa kutafuta wenza (sorry to say this)...wahanga wakubwa wakiwa ni mabinti.....wachache wamebahatika..ila waliopigwa ni wengi sana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Alah akikupiga ,dawa yake ni hii ,siku unajifanya unamtoa out sehemu ya mbali halaf unampa jeraha ambalo hatakaa alisahau maisha yake yote,na atakoma kabisa kuchezea wanawake asiokuwa na mpango nao,dawa ya mwanaume anayechezea wanawake ni kumpa jeraha LA milele
Kwa kweli hii dhana ya kutafuta mchumba mitandaoni bado sijaielewa. Kwa mtazamo wangu,ni rahisi kumwambia mtu kuwa unania ya kumuoa iwapo umeshamuona ,umevutiwa naye umefanya preliminary investigation juu ya familia anayotoka na kuridhika.Inawezekanaje umwambie mitandaoni kuwa unataka kumuoa,kabla ya kumuona,halafu ndio uvutiwe naye?Wanakuwa hawajavutiwa BTW JF sio mahali salama sana pa kutafuta wenza (sorry to say this)...wahanga wakubwa wakiwa ni mabinti.....wachache wamebahatika..ila waliopigwa ni wengi sana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Wanakuwa hawajavutiwa BTW JF sio mahali salama sana pa kutafuta wenza (sorry to say this)...wahanga wakubwa wakiwa ni mabinti.....wachache wamebahatika..ila waliopigwa ni wengi sana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli hii dhana ya kutafuta mchumba mitandaoni bado sijaielewa. Kwa mtazamo wangu,ni rahisi kumwambia mtu kuwa unania ya kumuoa iwapo umeshamuona ,umevutiwa naye umefanya preliminary investigation juu ya familia anayotoka na kuridhika.Inawezekanaje umwambie mitandaoni kuwa unataka kumuoa,kabla ya kumuona,halafu ndio uvutiwe naye?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app