Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

siwezi kuwasemea lakini wengi kwanza utakuta tayari ana mtoto, ama kama hana basi ana kasoro flani, nizungumzie zaidi katika kasoro za kitabia, haridhiki, hajiamini na haamini wengine, ni visirani flani vinavyokaribia na ukichaa utagundua hilo akivurugwa, wengi wao mpaka akuvulie pichu ujue umetumia muda wa ziada na ukifanikiwa hurudi
 
Dahh...

Umetisha Mkuu..

Unawajua vyema hawa viumbe.
 
wadada wote naomba muelewe hivi maisha hayana backspace button ukibugi ndo umebugi
 
Back
Top Bottom