Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

Maisha yana mengi sana kuna vitu vinatokea kias kwamba mtu anaona bora awe mwenyewe tu mara nyingi tulikopita kabla huwa ndo sababu kiasi
 
Hivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana.

Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
2f8b6dac6f4a579107b6257d2a009b10.jpg

Haraka ya nini kama hauko tayari? Ndoa zenyewe ndo hizi za kuletewa vimada na watoto wa nje. Why in a hurry to be disappointed?
 
ukiona hvy ujue kashatendwa,, anajishauwa tu na kujifariji,,,,waongo hao , we mwambie tu nakupenda nahitaji kukuowa,, utasikia fuata taratibu zote nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji108] ,, wanajishauwaa tu
Hahahaa
 
si kweli kuwa hawajapata wa kuwaoa,

labda past experience inaweza ikawa sababu,

wengi ukiangalia,wamechoose career ama education ambitions anazoona akiolewa na kuanza familia hatazikamilisha hizi ndoto,
Hamna kitu kama hicho
 
ukiona hvy ujue kashatendwa,, anajishauwa tu na kujifariji,,,,waongo hao , we mwambie tu nakupenda nahitaji kukuowa,, utasikia fuata taratibu zote nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji108] ,, wanajishauwaa tu
Ukiona binti wa hivyo ujue ni mwaasherati
 
Back
Top Bottom