Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

Yeah kunadogo alikuwa akipga anajipiga vidole ila siku ya siku ikagundulika halafu ni mtoto mdogo sana kama 17_19 aisee alikuwa akikihisi aibu kiasi kwamba nilimshauri aende nyumbani kwao japo nilitumia njia ya upendo sana na alinielewa kama SIR.
Dah dogo wa watu alikuwa akijipa raha mwnyw Ila raia mnaanza kufuatilia mambo yake 😭

Anyway, huyo dogo n wakiume au wakike?
 
Hiki kizazi aisee kina mengi.

Binti kaumwa kazidiwa kumbe ni pumu, purukushani za kutafuta dawa zake zikaanza, kufungua huku na kule mara paah kimfuko kizuri kama vile vya wanavyowekewa wakienda kununua vitu kwenye maduka makubwa ya fashion wacha kidodoke.

Kijimfuko kilikua na madubuwana hatari. Dubuwana moja lina ends mbili limejikunja na lina button na type C port. Hadi dushe linapindapinda kama mpira lilikuwepo humo

Hii dunia isimame sasa ni balaa
Umbeya tu unawasumbua.
 
Wengi sana wameona wajipatie huduma wao wenyewe maana wakisimama barabarani hatuendi kuwanunua,Tukichukua namba hatupigi na siku tukipiga tu Wanatutwanga virungu imagine umenipa namba leo kesho unamiambia ni Birthday yako
 
Back
Top Bottom