Mabinti wa Veta Mtwara ni hatari

Mabinti wa Veta Mtwara ni hatari

Fateema

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2024
Posts
599
Reaction score
1,062
Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee..

Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa.

Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari.

Maadili ni sifuri.
 
Okoa Dada zetu wadogo zetu wapewe elimu ya ukimwi
Elimu wanapewa shida inakuja ni kuwa vijana kwa sasa wamekua wakifata mkumbo..

Ngono imekuwa ni kitu cha kawaida sana sana na cha kufurahisha zaidi kwa sasa hawa vijana hawataki kuolewa wenyewe wanataka watu wa kuchovya tu.

Ukimwi nao kama umejificha ila mtu akipata ndo anajua kumbe kweli..
 
Duh kabisa inasikitisha sana
 
Kama kuna waislamu, ni hasara kwa wazazi, watoto wanatakiwa kusoma dini tokea wakiwa wadogo mpaka anafikia umri wa kujitambua, ila tumeikumbatia i'lmu ddunia tukasahau elimu ya dini. Matokeo yake ndio hayooooooooooooo.

Waislamu tusomesheni watoto wetu dini, waijue dini yao, wamjue Mtume wetu n.k.
 
Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee..

Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa.

Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari.

Maadili ni sifuri.

Unasema wana mambo makubwa alafu unasema tena maadili sifuri?
 
Back
Top Bottom