kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
toka inaanza 2019 huu ndo Uzi uliodanganya kuliko zote, eti mabinti Wa shinyanga sio washamba dadadeki
Hizo sehemu anazozitaja MTU ukifika ukaongea kiswahili kizuri unasepa na kijiji, yaani unajichagulia kama nyanya sokoni
Ya kweli hayoHizo sehemu anazozitaja MTU ukifika ukaongea kiswahili kizuri unasepa na kijiji, yaani unajichagulia kama nyanya sokoni
Yaani we kweli ni kanali mstaafu maana wanajeshi huwa mnabaka hata vibibi ndio maana unaona ushetu kuna mademu wakali
Hizo sehemu anazozitaja MTU ukifika ukaongea kiswahili kizuri unasepa na kijiji, yaani unajichagulia kama nyanya sokoni
Ni warahisi sana kupigika hasa na wanaume wageni Wa maeneo wanayoishi.Pamoja na kwamba mm ni mzawa wa kanda ya ziwa kuna kitu nilikuwa sikijui vizuri na nilikuwa nasikia sikia tu ila siku hizi baada ya kiutafiti kisicho rasmi nimeona haya yafuataya kwa mabinti kutokea mkoa wa shinyanga hasa wilaya za meatu, kishapu na shinyanga mjini;
1. Ni mablack beaty
2. Wana maumbo mazuri
3. Hawana ushamba wala ulimbukeni
kama wale wengine
4. Wapo vizuri kitandani
5. Hawana tamaa sana
6. Wana sura nzuri
.
.
.
Nimekata shauri kutafuta mwenza huku
Mwenye sifa zao zaidi ziwe chanya au hasi aweke hapa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliwahi kubakwa???Yaani we kweli ni kanali mstaafu maana wanajeshi huwa mnabaka hata vibibi ndio maana unaona ushetu kuna mademu wakali