Mabinti wa Presidaa M7 we acha tu!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
The-First-babes-Musevenis-gals-also-showed-up-in-style.jpg
 
aaahhh yeye yeye eeeehh...!!!!! aiseee ningekuwa mkubwa, mcheki huyo chalii mwenye suti anaangalia nini, ha haa..halafu mikono yake kaweka nyuma , ana-imagine what it contained..!!!
 
Kama si o mmoja au wote,walipokuwa wajawazito walikwend kudeliver their babies in GERMANy.
Kisa ni kwamba M7 hakuamani madokta UGANDA kwa usalama wa mabinti wake.

M7 ameleta udikteta wa kiarabu UGANDA.
 
nenda kwenye web ya nchi zenye ropoka kaa q chillah nimempenda binti wa rais afu tuone..
 
Hakuna mrembo hata mmoja hapo, angalia mitumbo ilivyojaa utafikiri wana vitambi vya kangara.
 
Hv kikwete ana binti mkali nasikia ni dokta sasa mwenye picha aweke tufanye comparizon
 
Back
Top Bottom