Mabinti wa kitanga

Mabinti wa kitanga

Nilikuwa naskia skia tu mabinti wa kitanga ni noma kwenye mapenzi nikafikir story tu za hapa na pale kumbe kuna ka ukweli.

Nimepata kazi huku na nilicho kugundua kutoka kwa hawa mabinti wa kitanga ni iki;

1: wanajua kupenda
Utapendwa wewe mpaka uone kero kataa Kula ndio utaona moto wake.

2: waaminifu sana kwenye ndoa zao.
3:wanajua kuchakalika kuzitafuta hela kwa nguvu zote ,hasa uku nilipo usambaan yan wanawake wanapiga kazi kwa bidii kuliko wanaume walio fika huku wanaweza kuwa mashaidi.

4: wanawivu kupindukia
Hapa siwezi hata mueleza

5: wanaheshima kubwa kwa waume zao sema tu wanaume wenyewe ndio wanazingua

6:wanajua kukufanya ujiskia fahari kuwa mume na kwao ni marufuku kumpazia sauti mume wake

Kwa wale wasio oa kama kuna binti wa kitanga karibu yako fanya fasta muweke kwapan hauto jutia nakupa guarantee miaka 100 .

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli aisee, watu wengi nimewasikia wakisema hivyo!
 
Haya mambo ya kuweka kategories kimakabila kumbe bado yapo? Mimi nilijua mapenzi na tabia ni mtu binafsi.
 
Ni mabint wa Kisambaa peke yao. Makabila mengine hasa wa town hamna kitu katika kufanya kazi ila mabingwa wa mapenzi.

Huku wanafurahia mapenzi ya kisasa wenyewe wanayaita. Wanapiga na kuzunguka kupiga.
 
Nilikuwa naskia skia tu mabinti wa kitanga ni noma kwenye mapenzi nikafikir story tu za hapa na pale kumbe kuna ka ukweli.

Nimepata kazi huku na nilicho kugundua kutoka kwa hawa mabinti wa kitanga ni iki;

1: wanajua kupenda
Utapendwa wewe mpaka uone kero kataa Kula ndio utaona moto wake.

2: waaminifu sana kwenye ndoa zao.
3:wanajua kuchakalika kuzitafuta hela kwa nguvu zote ,hasa uku nilipo usambaan yan wanawake wanapiga kazi kwa bidii kuliko wanaume walio fika huku wanaweza kuwa mashaidi.

4: wanawivu kupindukia
Hapa siwezi hata mueleza

5: wanaheshima kubwa kwa waume zao sema tu wanaume wenyewe ndio wanazingua

6:wanajua kukufanya ujiskia fahari kuwa mume na kwao ni marufuku kumpazia sauti mume wake

Kwa wale wasio oa kama kuna binti wa kitanga karibu yako fanya fasta muweke kwapan hauto jutia nakupa guarantee miaka 100 .

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 3, nakupinga mkuu!
 
Back
Top Bottom